XXX
Bodi Mpya Ya Wakurugenzi Wa ZSTC Yazinduliwa
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui (wakatikati)akiwa katika Picha ya Pamoja na Bodi mpya ya Wakurugenzi wa ZSTC huko katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui kulia akimkabidhi Zawadi Mwenyekiti wa Zamani wa Bodi ya Wakurugenzi wa ZSTC Mwinyiuwesa Idarous Yussuf huko katika Uzinduzi wa Bodi Mpya ya Wakurugenzi wa ZSTC katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi Mpya na yazamani wakiwa katika Kikao cha Uzinduzi wa Bodi Mpya ya Wakurugenzi wa ZSTC huko katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Bodi Mpya ya Wakurugenzi wa ZSTC huko katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Source: Mjengwa
No comments :
Post a Comment