Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, October 11, 2012

BHAA AAPISHWA!

Kuapishwa kwa Mwakilishi Mpya 

wa Bububu Bhaa leo


 Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Pandu Ameir Kificho akiwasili katika jengo 
la Baraza tayari kwa kuaza kwa Kikao na Kumwapisha Mwakilishi Mpya wa Jimbo la 
Bububu Zanzibar akifuatana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.

 Mhe Bhaa akifanya taratibu za kuingia katika Ukumbi wa Baraza kwa kula Kiapo 
cha Baraza akiongozana na Mbunge wa Bububu Sururu wakiwa nje ya ukumbi.

 Mhe. Hussein Ibrahim Makungu akiwa katika nafasi maalum aliyotengewa 
kabla ya kula kiapo leo asubuhi katika kikao cha baraza kilichoaza leo asubuhi.

 Mhe, Spika wa Baraza la Wawakilishi Pamdu Ameir Kificho akiingia katika ukumbi 
wa Mkutano wa baraza leo asubuhi.

.
 Mhe Spika akisoma kanuni za baraza kabla ya kuaza kikao na kumuapisha 
Mhe. Hussein Ibrahim Makungu, kuwa mwakilishi wa Bububu baada ya kushinda 
katika uchaguzi mdigo wa jimbo hilo mwezi uliopita.


Mhe. Makame Mshimba wa Jimbo la Kitope akishangilia kuingia kwa 
wajumbe wa CUF katika ukumbi wa mkutano.






























PICTURES BY ZANZINEWS



No comments :

Post a Comment