HAWA NDIO KWELI WAPO SHULE?
INASIKITISHA TANZANIA YETU YA LEO!
Yule alieandika kwenye utenzi wake maneno ya hapa chini wala hajakosea!
"Njoo maramoja baba uturejeshe kwa wakoloni,
Hapa kwenye uhuru tunaishi kama motoni"
Indeed huu sio Uhuru huu ni moto! Ukitaka kujua Jahannam itakuwa vipi basi ndio hii yetu hapa Tanzania!
The rich are getting richer and the poor are getting more mavumbi shuleni!
Wanafunzi wa shule ya Msingi Yala wilayani Mbarali wakijifunza kuhesabu.
Picha na Joseph Mwaisango-Mbeya

No comments :
Post a Comment