dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, October 23, 2012

JK Afungua Mkutano Wa UVCCM Dodoma


 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya 
Mrisho Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti anayemaliza muda 
wake wa UVCCM, Benno Malisa alipowasili ukumbi wa Chuo 
cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu wa nane 
wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012

 Nderemo baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi 
(CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwasili ukumbi wa 
Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu 
wa nane wa Jumuiya ya Vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012.


 Meza kuu na sehemu za wajumbe katika ukumbi wa Chuo cha 
Mipango mjini Dodoma wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu 
wa nane wa Jumuiya ya Vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya 
Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa UVCCM.

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya 
Mrisho Kikwete akipozi na viongozi wa UVCCM pamoja na ujumbe 
wa viongozi wa jumuiya za vijana toka nchi mbalimbali marafiki

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho 
Kikwete akipozi na viongozi wa Chipukizi wa  UVCCM.

Picha na Muhidin Michuzi 
Chanzo: Mjengwa

No comments :

Post a Comment