Developing Story – Picha: Yaliyojiri Dar Na Zanzibar Leo Mchana

Maeneo ya Mzimbazi

Waandamaji

Mtaa wa Livingstone karibu na I&M Bank

Wanajeshi wakifanya doria maeneo ya Kariakoo.

Kariakoo

Maktaba House.

Darajani Zanzibar
Muumini wa dini ya Kiislamu akishahadia kwa mola wake na kusema nipo
tayari kufa kwa ajili ya kutetea dini ya Allah baada kukamatwa na Askari
wa Kikosi cha Kutulia Ghasia katika viunga vya eneo la Ikulu.
tayari kufa kwa ajili ya kutetea dini ya Allah baada kukamatwa na Askari
wa Kikosi cha Kutulia Ghasia katika viunga vya eneo la Ikulu.
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakiwa katika Mitaa ya Kariakoo na viunga vyake kuimarisha ulinzi. Picha na Happiness Mnale
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakiwa katika Mitaa ya Kariakoo na viunga vyake kuimarisha ulinzi.Picha na Happiness Mnale
Doria ya Polisi wa Pikipiki katika mitaa ya Kariakoo leo mchana.
Chanzo: WotePamoja


No comments :
Post a Comment