Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, November 6, 2012

MRADI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA KUTOKA MTWARA NA SONGOSONGO

Video »


Maandalizi ya uzinduzi wa ujenzi wa Mradi wa 

Monday, November 5, 2012

UZINDUZI WA MRADI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA KUTOKA MTWARA NA SONGOSONGO HADI DAR ES SALAAM


TAARIFA KWA UMMAWizara ya Nishati na 
Madini (MEM) inapenda kuutangazia umma 
kuwa Serikali inatarajia kuzindua mradi wa 
ujenzi wa miundombinu ya kusafisha na 
kusafirisha 
gesi asilia kutoka Mnazi Bay Mtwara na 
Songo Songo 
Kilwa hadi Dar es Salaam. 
Hafla ya kuweka Jiwe la Msingi wa mradi huo 
itafanyika tarehe 8/11/2012 Kinyerezi, 
Manispaa 
ya Ilala, katika eneo ambapo mitambo ya 
kuendeshea mfumo mzima wa gesi itajengwa. 
Mgeni rasmi katika sherehe hiyo atakuwa Rais 
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 
Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
Wananchi wote wa Dar es Salaam na maeneo 
yanayozunguka eneo la Kinyerezi mnaalikwa na 
mnaombwa kufika kwenye eneo la mradi 
saa 2.00 asubuhi.

GESI ASILIA KWA MAENDELEO YA TAIFA

Imetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini


Source: Vijimambo

No comments :

Post a Comment