Sheikh Soraga amwagiwa tindikali
Posted on
Katibu wa Mufti wa Zanzibar, Sheikh Fadhil Soraga akitolewa
katika Chumba cha Huduma ya Mwanzo katika Hospitali ya
Mnazi Mmoja baada ya kurushiwa Tindikali na watu
wasiojulikana wakati akifanya mazoezi huko katika Kiwanja
cha Mwanakwerekwe. Sheikh amepelekwa Dar es Salaam
kwa matibabu kwa ndege ya serikali.Tunamtakia matibabu
mema na inshallah atapoa kwa jina la Mwenyeenzi Mungu.

Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akitolewa katika
Chumba cha Huduma ya Mwanzo katika Hospitali ya
Mnazi Mmoja baada ya kurushiwa Tindi kali na watu
wasiojulikana wakati akifanya mazowezi huko katika
Kiwanja cha Mwanakwerekwe.

Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akipandishwa
kwenye Gari ya Wagonjwa kwa lengo la kuwahishwa katika
Hospitali ya Muhimbili Dare es Salaam baada ya kurushiwa
Tindi kali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazowezi
huko katika Kiwanja cha Mwanakwerekwe.

Wananchi mbalimbali wakishuhudia Katibu wa Mufti wa
Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akiwahishwa katika Hospitali ya
Muhimbili Dare es Salaam baada ya kurushiwa Tindi kali na
watu wasiojulikana wakati akifanya mazowezi huko katika
Kiwanja cha Mwanakwerekwe.
Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akiwahishwa katika Hospitali ya
Muhimbili Dare es Salaam baada ya kurushiwa Tindi kali na
watu wasiojulikana wakati akifanya mazowezi huko katika
Kiwanja cha Mwanakwerekwe.
Picha na Yussuf Simai-Maelezo Zanzibar
No comments :
Post a Comment