Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, December 29, 2012

DR SLAA / CHADEMA: HAYA NI MAKUBWA - SOMA MWENYEWE!

DR.SLAA TAMBUA MWOSHA HUOSHWA


UMEWADANGANYA watanzania vya kutosha, umewapandikiza chuki nakuwafitinisha vya kutosha, haujaweza kuwashauri kufanya kazi zaidi yamaandamano, umewaburuza vya kutosha ndani ya chama na umewagawa vyakutosha sasa wamejitambua waachie chama chao waendelee.Kwa wafuatiliaji wa siasa za hapa Tanzania wengi hata huku kwetuNyikani, tunajua kuwa katibu wa Chadema Taifa Dr, Wilbroad Slaaamewapa vyeo kwa upendeleo waliokuwa ‘’wanamlamba’’ miguu yeye pamojana mchumba wake Josephine Mshumbushi.Padri Dr, Slaa mbali na hayo amevunja katiba ya Chadem vya kutosha,amevuruga chaguzi za ndani ya Chadema vya kutosha, wanachama wenginewameondoka kundini ikiwa ni pamoja na kushindwa kuendelea kukisaidiachama hicho kwasababu yake na wengine wamekonda miili na akili,wengine wameumizwa na vyombo vya dola kutokana ushawishi wa kutotiisheria bila shuruti.Tunakumbuka pale mkoani Mbeya mtu huyu huyu yaani Padre Dr. Slaaaliposababisha mnyukano mkali mpaka leo kwa viongozi wa Chadema baadatu ya kumalizika ziara yake Januari 13,2012 baada ya Dr. Slaa kuwaporademokrasia wanaChadema mkoa wa Mbeya kwa kumvua madaraka aliyekuwakatibu wa chama hicho mkoani humo Mwanasheria Eddo Mwamalala nakumpachika cheo cha ushauri wa mkoa.
Kwa akili zake alifanya makusudi kwa kujua wazi kuwa hakuna wa kuhojimaana anatumia mbinu ile ile ya kuwagawa kisha kuwatawala vizuri hukubaadhi akiwaahidi neema kwenye chama hicho.Baada ya kumuondoa Mwamalala katika nafasi ya ukatibu wa mkoa,akampachika Boid Mwabulanga kushika nafasi hiyo ambayo masikini mtuhuyo hajawahi kuiota wala kuiomba kwa mujibu wa katiba ya Chademakisha akapigiwa simu kuwa anaikubali au anaikataa nafasi hiyo jamboambalo lilimshitua sana Mwabulambo ambaye hawezi kushawishi vijanakuandamana pasipo kuangalia maslahi ya wananchi kwanza.Kutokana na hali hiyo Mwabulanga anaendelea kuishikilia nafasi hiyokwa ushahidi tu maana haivi chungu kimoja na baadhi ya viongoziwenzake ambao wamejazwa fikra za kuendesha chama hicho chenye mvutokwa walio kata tamaa kwa mtindo wa sinema za vurugu.Hakuishia hapo, kwa kujua kuwa Mbeya hakuna anayekijua vema chamahicho na chama hicho sawa na mali ya watu fulani alifanya mamuzi yakumpachika cheo cha Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Mbeya PeterMwamboneke kana kwamba anataka kumvalisha viatu vikubwa alivyoviachamwanasheria Sambwee Shitambala ambavyo mpaka sasa nafasi hiyo hakunaaliyeweza kuimudu.Wanachama ambao walijitokeza kuwania nafasi hiyo ni pamoja na JohnMwambigija ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Mbeya Mjini narafiki mkubwa wa familia ya Dr.Slaa, Zabron Nzunda (Sabodo),Mwanasheria Philipo Mwakilima(Crimax) na Mwanasheria John Ngeka.Wengine walikuwa ni Joseph Mwachembe(China), George Mtasha, HerodeJivava, Hugho Kimario, Aminika Mwihomeke na mwanadada pekee Sorwa Gea.Katika uchaguzi huo rafiki wa Dr, Slaa na Mbunge wa Jimbo la MbeyaMjini Joseph Mbilinyi, John Mwambigija, alionekana kuzidiwa na dalilizilionesha kuwa asingeweza kushinda bali nyota ilikuwa ikiwaka kwaZabron Nzunda aliyekuwa akiungwa mkono na Eddo Mwamalala.Uchaguzi huo ulikuwa ukitarajia kufanyika Juni 20 mwaka huu lakiniukavurugwa na kuvurugika mpaka leo hapo ndipo inajidhihilisha kuwauzuri wa paka si rangi yake bali ujuzi wa kukamata Panya.Katika kikao kilichoketi Januari 11, mwaka huu katika ukumbi wa hotelya Mount Livingstone Jijini Mbeya chini ya Dr, Slaa, mfuasi wake wkaribu kwa mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chedema wilaya yaMbeya Mjini John Mwambigija alimtuhumu Mwenyekiti wa Chadema wilaya yaChunya George Mtasha kuwa ni mla rushwa na hiyo yote inaelezwa kuwaalipata nguvu kutoka kwa ‘’Stering’’ wao.Baada ya mbegu hiyo ya kutaka kuwatimua wote ambao wanaonekana kuwakikwazo kwa kundi la Dr. Slaa, kilifanyika Kikao cha kumvua uongoziMwenyekiti wa Chadema wilaya ya Chunya Februari 10, mwaka huu wilayaniChunya na kuongozwa na Mwenyekiti masalia wa chama hicho PeterMwamboneke.Baada ya kugonga mwamba wilayani Chunya, ukapangwa mkakati mwinginemfu wa kwenda kumuondoa Mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya MbeyaVijijini Eliah Kabholile kutokana na maelewano hasi na Dr. Slaa lakinipia mkakati huo ukashindikana baada ya mtandao huu wa www.kalulunga.blogspot.comkufichua siri hiyo.Siwezi kunyamaza bila kusema haya kwa ulimwengu maana najua mahala pakumshitaki Dr. Slaa hata ndani ya chama hakuna maana wengi amewawekana kulazimisha wawe wanalipwa mishahara hivyo hawawezi kumfanya lolotewala kumhoji lakini kwa nguvu ya kalamu na wanyonge asiowapenda ndaniya Chadema anapaswa kusema yatosha.Tena ana bahati kubwa Zitto Kabwe ni mvumilivu laiti kama angeamuanaye kuweka mkono wake kwa wanachadema wanaomkataa Dr, Slaa hakikaangekonda sana, lakini amshukuru Mungu kwa hilo.Dr. Slaa amemtumia mchumba wake mara kadhaa kwenda mikoani hukuakipokelewa kama kiongozi wa Chadema Taifa wakati hatujui hata nafasiyake ndani ya chama, bila aibu anapokelewa na wafuasi wake kwa kutumiapesa na magari ya kuomba kwa wanachama kana kwamba chama kinamtuma!.Kuna wanachama masalia wa Chadema ambao wanaona Dr, Slaa kusemwa kwauovu wake na viongozi wenzake ni kama dhambi na inawauma kwelikweli!!Jibu lake ni kwamba hakuna kitu kibaya kama dhambi ya uongo na fitinakwa mtu mzima na mara kadhaa Mungu anaamua kuuangusha ‘’uongozi’’hasi.Dr, Slaa analijua hili kwa kina, na kabla sijamalizia tayari yeyeamekumbuka kuwa kabla hajamkana Mungu alisoma vema kuwa chanzo chawajenzi wa Mnara wa Babeli kutofautiana lugha kilikuwa ni dhambi namawazo hasi.Nasema Dr, Slaa mwosha huoshwa kwasababu wale ambao aliwatendea kwahila wameamua kumlipa kwa hila baada ya kujitambua na nimkumbushe Dr,Slaa kuwa katika Biblia tunaambiwa kuwa Elisha akamwambia Geazi kuwawalio nyuma yetu ni wengi kuliko unaowaona hivyo umefika wakati wakupima hoja zao badala ya kutegemea wanachama masalia ambaowanamshinikiza kubaki katika nafasi hiyo ili aendelee kulinda maslahiyao.

Mwandishi wa makala haya anapatikana kwa simu 0754 440749kalulunga2006@yahoo.com

Chanzo: Mwanabidii Forum

No comments :

Post a Comment