Mfanyabiashara wa Embe akiandaa biashara yake akiwa pembezoni mwa Barabara ya Mwanakwerekwe, mjini Zanzibar hivi karibuni, kama alivyonaswa na kamera ya sufianimafoto.
Chanzo: Vijimambo
NOTE: Mbele kidogo ya hapa ndipo yalipo Makao Makuu ya Zanzibar Ni Kwetu!

No comments :
Post a Comment