A typical house for rent or sale in Dar Es Salaam for the middle class.
Most of them are of one floor (ground) only. The above is not the one advertised here below.
Most of them are of one floor (ground) only. The above is not the one advertised here below.
Mahali ilipo: Nyumba ipo Majohe kwa Ngozoma-Ukonga- Ilala- Dar Es Salaam karibu na Stendi ya daladala, nyumba inafikika kwa usafiri binafsi au daladala.
Hali halisi ya nyumba:
i) Nyumba kubwa ina vyumba Vitatu vya kulala, kimoja ni Master Bedroom, Jiko, Dining room, Sitting room na vyoo vya public vya ndani. Nyumba hiyo ina Tiles nyumba nzima, imepigwa Gypsum na Madirisha ya Aluminium (Tinted aluminiums).
ii) Nyumba ya Nje ina Jiko la nje na Servant Quarter.
iii) Kuna taa za nje na ndani ya nyumba na kwenye fremu za maduka.
iv) Kwa nje kuna fremu za maduka na zote zimepangishwa huku moja ina duka langu la vipodozi na nguo.
v) Maji na umeme vipo na fremu za maduka na nyumba kubwa kila moja na LUKU yake (kuna LUKU mbili).
vi) Nyumba imezungushwa ukuta eneo lote na geti la kuslide
vii) Kuna eneo kubwa la kulima na kufuga ambapo kuna mboga za majani, bilinganya, ndizi, mapapai na kuku.
Bei: 500,000/= kwa mwezi
Usafi: Nyumba imetunzwa katika hali ya usafi wa hali ya juu na nadhifu ndani na nje ya nyumba yaani hadi nje ya ukuta.
Wasalaam
Wilson Gwoma
MCHUMI (Msc.Economics)
+255(0)715459877/752697128
Kwa picha ya nyumba, wasiliana na Ndugu Wilson Gwoma.
No comments :
Post a Comment