Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, January 13, 2013

MAPINDUZI YA UNGUJA: Balozi Seif azindua rasmi Skuli Mpya ya Sekondari ya Mikindani Dole


 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiizindua rasmi Skuli Mpya ya Sekondari ya Mikindani Dole Wilaya ya Magharibi ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

  Balozi Seif akiangalia Maabara ya Skuli ya Sekondari  ya Mikindani Dole ambayop imekamilika mahitaji ya vifaa kwa wanafunzi wa skuli hiyo.

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanziubar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia moja ya daraza la Skuli ya Sekondari Mikindani Dole wilaya ya Magharibi mara baada ya kuiozindua Skuli hiyo.

  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akimpongeza Mwakilishi wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Uchumi na Elimu Bwana  Nobuyuki Tanaka ambaye Taasisi yake imegharamia ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Mikindani Dole.


Chanzo: Vijimambo

No comments :

Post a Comment