بـــسـم الـّلـه الرحـمــن الرحــيـم
Asalaam alaikoum Wazanzibari.
Napenda kuchukuwa fursa hii kwa mara nyengine, kuwakumbusha kuwa bado tunakusanya michango kwa ajili ya watoto wawili waliozaliwa na maji katika vichwa vyao, ambao wamefanyiwa operation huko Dar es salaam.
Kama nilivyoeleza awali, wanaokusanya michango hiyo ni Nabhani – 647-499-6245, Dr. Zahor kwa Hamilton-905-524-5718, Leila kwa Toronto-416-514-0965 na Hassan Othman Toronto – 416-4387857 na kwa wale amabo watatuma moja kwa moja Zanzibar, Maalim Said Yunus (Abuu Yunus) 0776-399-494.
KWA WALEOKO SEHEMU NYENGINE WANAWEZA KUWASILIANA NA NABHANI NAMBA HIYO HAPO JUU.
Maelezo zaidi yatatplewa kuhusu matumizi ya michango hiyo mara tu baada ya kufikishwa kunakohusika.
Watoto hao kwa sasa wanashughulikiwa na kikundi cha Pemba Yetu kilicho na makao makuu yake Dar es salaam.
Michango yote itatakiwa iwe imeshakamilika ifikapo Februari 10, 2013.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa waleo wote waliokwishao kutoa na ambao watatoa.
kny: ZACADIA Canada
والــلـّه ولى الـتوفـيـق
Chanzo: Mzalendo
Chanzo: Mzalendo

No comments :
Post a Comment