Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, January 24, 2013

USA: TWASIRA MBALIMBALI ZA MHE. BALOZI NA MUMEWE NA WADAU DMV

 Mhe. Mwanaidi Sinare Maajar, Balozi wa Tanzania nchini Marekani anayemaliza muda wake katika picha ya pamoja na mumewe Bwn. Shariff Hassan Maajar siku Jumuiya ya Watanzania DMV ilipowafanyia sherehe ya kuwaaga Jumapili January 20, 2013 College Park, Maryland.

Mhe. Balozi na Mumewe katika picha ya pamoja na viongozi wa Jumuiya DMV 

Mhe. Balozi pamoja na mumewe katika picha ya pamoja na watoto wa Jumuiya ya Watanzania DMV
                       
Mhe. Balozi pamoja na mumewe katika picha ya pamoja na Dedi Luba na mwanae

                       
Watoto hawa wao wameamua kupata picha yao ya upendeleo  na Mhe. Balozi pamoja na mumewe 

                        
Mhe. Balozi na mumewe wakipiga picha ya pamoja na Mama Lily Munanka (kushoto), mkuu wa Utawala na fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Ebra NY, Vijimambo New York

Juu na chini ni picha mbalimbali walizopika Wanajumuiya wa DMV na Mhe. Mwananidi Maajar akiwa na mumewe Bwn. Shariff Maajar siku ya Jumapili Janauary 20, 2013 siku waliyofanyiwa sherehe na Jumuiya ya Watanzania DMV ya kumuaga yeye na mumewe. 





kwa picha zaidi bofya read more






























































Chanzo: Vijimambo

No comments :

Post a Comment