
Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi ambaye amechangia Sh. milioni 100 na Mwenykiti wa NCCR-Mageuzi James Mbatia aliyechangia Sh. milioni mbili kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo cha Kiislamu cha Al-Haramain kwenye harambee iliyofanyika Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment