Bi Salma Said akimfariji Bi Kidude nyumbani kwake,
wakati Bi Kidude alipokuwa kashikwa na maradhi!
Written by ZACADIA // 15/04/2013
MSAADA WA WAZANZIBARI KUTOKA
CANADA KWA NDUGU SALMA SAID

Tafadhali, kama unahitaji kumchangia Ndugu Salma, basi wasiliana na watu wafuatao hapa chini ili kupanga namna ya kuweza kufikisha mchango wako:
1. Leila Abdisalamy 416-514-0965
2. Hassan Othman 647-404-8618
3. Omar Said 416-732-5301
4. Mohammed al-Nabhany 416-854-1386
5. Dr. Zahor Hemed (Hamilton) 905-524-5718
Tunakusudia kuipeleka michango yote Zanzibar siku ya Jumaamosi tarehe 20 April, 2013.
Tunamuombea ndugu yetu shifaa ya haraka.
Administration
for: Director of Health & Public Safety
ZACADIA
Chanzo: Mzalendo.net
No comments :
Post a Comment