AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, April 15, 2013

MOLA AMLAZE PEMA APEPONI MAREHEMU HAJJI MOHAMED!

Bosi wa kundi la taarabu la 

East African Melody afariki 

Dunia leo Muhimbili

Na Kambi Mbwana, Dar es Salaam
MKURUGENZI na mwimbaji mahiri na mpiga kinanda wa kundi 
la East African Melody, Hajji Mohamed amefariki Dunia leo katika 
Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Marehemu Hajji Mohamed, enzi za uhai wake.

Habari kutoka ndani ya kundi hilo zinasema kuwa marehemu 
alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya presha, huku alipofika 
Hospitalini hapo alikuwa akitembea mwenyewe.
Aidha pia bosi huyo wa East African Molody alikuwa 
akisumbuliwa na matatizo ya kushindwa kupumua na 
kusababisha kifo chake.

1 comment :

  1. Mola amlaze pema peponi. Tutamkumbuka san kwani ni mmoja ya waanzilishi wa modern taarab yaani tarabu ya kileo.

    ReplyDelete