
Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma, wakiwa pamoja na Malkia Beatrix wa Uholanzi, walipomtembelea Malkia huyo katika makazi yake rasmi jijini The Hague jana. Rais Kikwete yupo nchini Uholanzi kwa ziara rasmi.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
No comments :
Post a Comment