AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, April 17, 2013

Polisi wa Dubai Watumia Lamborghini kama Gari la Doria

The £360,000 Lamborghini Aventador has a top speed of 217mph and can go from 0 to 62mph in 2.9 seconds
 Lamborghini Aventador, Polisi wa Dubai wameanza 
kutumuia 
gari hili ambalo lilionyeshwa katika maduka ya 
kifahari yaliyopo Dubai Mall.
Picha hii ilirushwa kwenye mtandao wa "Twitter" 
na kuandikiwa "Latest 
Dubai Police Patrols now at your service" na ikawa 
trend topic ya mtandao huo.
Wataalam kadhaa wa gari hilo lina uzwa kwa bei ya 
Pounds 260,000, ina V12 engine, 
na kufikisha speed ya 217 mph, na inachomoka kutoka 
0-60mph katika mda wa 
sekunde 2.9sec.
Inasemekana magari haya yatatumika katika kutengeza 
soko lao zaidi kuliko 
gari la polisi wa barabarani.
dubai-lambo_653

Chanzo: Vikimambo

No comments :

Post a Comment