Kamati yabaini ubadhirifu
Sh2bilioni Z.bar
Posted Ijumaa,Aprili19 2013 saa 23:47 PM
KWA UFUPI
Taarifa ya Kamati ya Kuchunguza na Kudhibiti Hesabu za Serikali na Mashirika (PAC) iliyotolewa juzi jioni katika kikao cha Baraza la Wawakilishi nje kidogo ya mji wa Zanzibar ilisema kuwa Sh2.3bilioni zilitumika kwa malipo yasiyofuata taratibu.

No comments :
Post a Comment