Wadau wote mnakaribishwa
kuhudhuria mjadala/mdahalo
utakaofanyika Chuo Kikuu cha
Reading Uingereza, siku ya Jumamosi
tarehe 01-06-2013. Mdahalo/Mjadala
huo utahusu mambo kadhaa
yakiwemo; Katiba, Muungano, Elimu,
Utaifa na burudani baada ya mjadala.
Nyote mnakaribishwa.
No comments :
Post a Comment