AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, June 28, 2013

Maadhimisho ya siku ya upigaji vita dawa za kulevya Zanzibar

Waziri wa Afya  Juma  Duni  Haji, akiwahutubia wananchi na waliocha kutumia madawa ya kulevya katika madhimisho ya siku ya upigaji vita matumizi na biashara haramu ya madawa ya kulevya Duniani, kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Tume ya Dawa za kulevya Muhmoud Mussa, na kushoto Naibu Kadhi Mkuu Zanzibar Hassan Othman
Waziri wa Afya Juma Duni Haji, akiwahutubia wananchi na waliocha kutumia madawa ya kulevya katika madhimisho ya siku ya upigaji vita matumizi na biashara haramu ya madawa ya kulevya Duniani, kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Tume ya Dawa za kulevya Muhmoud Mussa, na kushoto Naibu Kadhi Mkuu Zanzibar Hassan Othman.
Waziri wa Afya  Juma  Duni  Haji akiwa na viongozi mbalimbali na Makanda wa Polisi katika picha ya pamoja na walioacha kutumia madawa ya kulevya huko Meya katika madhimisho ya siku ya upigaji vita matumizi na biashara haramu ya madawa ya kulevya Duniani.

Addy Amer aliyeacha kutumia madawa ya kulevya akitoa ushuhuda wa madawa ya kulevya, na kuwataka vijana wasijaribu kuyatumia kwani yanahatarisha maisha kwa ujumla.
Addy Amer aliyeacha kutumia madawa ya kulevya akitoa ushuhuda wa madawa ya kulevya, na kuwataka vijana wasijaribu kuyatumia kwani yanahatarisha maisha kwa ujumla.
                     Chanzo: ZanzibariYetu

No comments :

Post a Comment