
Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wakazi wa Jiji la Arusha, wakiwa wamebeba mwili wa mwanachama wao, Judith Mushi kuupeleka makaburi ya Kanisa kwa maziko baada ya kufa kwa kulipukiwa na bomu jumamosi iliyopita, wakati chama hicho kikifunga kampeni za udiwani wa kata nne katika kiwanja cha Soweto.
No comments :
Post a Comment