dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, August 9, 2013

Sala ya Idd el fitr ilivyosaliwa Chakechake Pemba

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba, Saleh Mohammed Saleh akitoa Tamko la Jeshi la Polisi, kwa waandishi wa habari, juu ya jeshi hilo litakavyoimarisha ulinzi ndani ya mkoa huo, kwa siku zote nne za skukuu ya Idd el ftri
WANANCHI mbali mbali wa shehia ya Mgogoni Chake Chake, wakiswali swala ya pamoja ya Skukuu ya Idd ell Ftri, sala iliyofanyika katika viwanja vya skuli ya Cotnent mgogoni chake chake Pemba

 Maalim Ali Hamad Shehe ambae ni mgeni rasmi katika swala ya Pamoja ya Idd iliyoswaliwa kwenye uwanja wa mgogoni chake chake, akitoa nasaha zake kwa waumini wa dini ya kiislam waliohudhuria swala hiyo, iliyofanyika katika viwanja vya skuli ya Cotnent mgogoni chake chake Pemba

WAUMINI wa dini ya Kiislamu wakisalimia na kutakiana kheri ya Idd ell fitri, mara baada ya kumalizika kwa swala ya pamoja ya Iddi iliyofanyika katika viwanja vya skuli ya Cotnent mgogoni chake chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)

Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment