
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk. Reginald Mengi (katikati), akiteta jambo na Meneja wa Benki ya Exim tawi la Tanga, Deogratius Makwaia (kushoto), akiteta jambo wakati wa jukwaa la kujadili fursa za uwekezaji mkoani Tanga mwishoni mwa wiki. Kulia ni Ofisa Masoko wa Benki ya Exim, Noel Tuga.(PICHA: MPIGAPICHA WETU)
No comments :
Post a Comment