AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, October 16, 2013

Dkt. Shein Ahutubia Baraza la Eid El Hajj


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein, 
akiwasili viwanja vya Chuo Kikuu Tunguu kuhudhuria sherehe za Baraza la Eid El Hajj.


Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad, 
akiwasili viwanja vya Baraza la Eid Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.

Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya Sita Dkt. Amani Abeid Karume akiwasili 
viwanja vya Chuo Kikuu Tunguu kuhudhuria sherehe za Baraza la Eid El Hajj, 
kitaifa limefanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha SUZA Tunguu.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, 
akiwa na Viongozi wa Serekali na Dini wakisikiliza Quran iliosomwa katika ufunguzi 
wa sherehe za Baraza la Eid. Tunguu.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein, 
akihutubia katika Baraza la Eid El Hajj, lililofanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu 
cha SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja. 


 Viongozi wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Hutuba ya 
Rais wa Zanzibar aliokuwa akiitowa katika Baraza la Eid El Hajj ukumbi 
wa Chuo cha SUZA Tunguu. 



 Viongozi wa Serkali na wa Dini wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar, 
katika ukumbi wa SUZA Tunguu. 


                   Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar 
wakati wa Baraza la Eid El Hajj.


 Mdaub wa habari Zanzibar Munir Zakari akifuatilia hutuba hiyo ili kuweza 
kuripoti uziri katika chombo chake cha habari.


 Naibu Mufti wa Zanzibar Shekh. Mahmoud Mussa, akisoma Dua baada ya 
kumalizika kwa hutuba ya Baraza la Eid El Hajj.



 


  

 

Chanzo: ZanziNews




No comments :

Post a Comment