AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, November 5, 2013

CONTROVERSY HAS EMERGED OVER OWNERSHIP OF THE LATHAM ISLAND (OR FUNGU MBARAK) BETWEEN ZANZIBAR AND TANZANIA MAINLAND.

Written by   //  03/11/2013  

FUNGU MBARAK YAINGIA KWENYE KINYANGANYIRO
Mwakilishi wa jimbo la Uzini Mohammed Raza ameiomba serikali kufanya tathimini ya visiwa vidogo baada ya kuwepo taarifa za kutaka kuchukuliwa kisiwa cha Fungu Mbaraka.
Akichangia mswaada wa sheria wa mabadiliko ya ardhi katika kikao cha baraza la wawakilishi amesema kumekuwepo na taarifa za kisiwa hicho kudaiwa kimo ndani ya mipaka ya Tanzania bara.
Raza amesema ni muhimu kwa serikali kuliweka bayana suala hilo hasa kipindi hichi cha harakati za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi na kuonekana badhi ya kitalu kiko katika kisiwa hicho,ili kuviepusha vizazi vijavyo kuingia ndani ya mgogogo au kuwaingiza ndani ya mgogoro mbeleni.
Nilazima tu weke suala hili wazi kwa serekali ya smz kujuwa visiwa vyake ndani ya mipaka ya Zanzibar.
Huku tarifa kutoka kwa Makamo wa kwanza wa raisi Maalim Seif Sharifu Hamadi asema MGAO WA ASILIMIA 4.5 BASi-MALIM SEIF Malim Seif Sharif Hamad Makamu wa kwanza rais Zanzibar Malim Seif Sharif Hamad amesema asilimia 4.5 ya gawio la Zanzibar litokanalo na misaada ya kimataifa na faida ya benki kuu Tanzania BOT ni ndogo.
Akizungunza na wandishi wa habari juu ya mafanikio ya miaka mitatu ya serikali ya umoja wa kitaifa huko hoteli ya Ocean View amesema mgao huo unahitaji kurekebishwa hadi kufikia asilimia 11.3. Malim Seif amesema asilimia hiyo ya fedha za Zanzibar ndizo zilizotumika kuanzishia mtaji wa BOT kufuatia bodi ya Sarafu ya Afrika ya Mashariki kuvunjika mwaka 1963. …
Hata hivyo amesema mazungumzo ya kurekebisha gawio hilo yanaendelea kupitia ngazi za viongozi wakuu wa serikali ya muungano na Mapinduzi Zanzibar. Akizungumzia mafanikio ya miaka mitatu ya serikali ya umoja wa kitaifa Malim Seif amesesema Zanzibar bado inakabiliwa na upungufu wa madaktari na kutoa huduma za afya zisizowaridhisha wananchi. Hata hivyo amesema serikali imechukua juhudi za kuwafundisha vijana 34 katika chuo cha udaktari Zanzibar wanaotarajiwa kumaliza mwakani.
Chanzo: Mzalendo

CONTROVERSY HAS EMERGED OVER OWNERSHIP OF THE LATHAM ISLAND (OR FUNGU MBARAK) BETWEEN ZANZIBAR AND TANZANIA MAINLAND.

Debating the proposed bill “an Act to amend various laws of the land”, some legislators said the recent statement fromTanzania mainland authorities that Fungu Mbarak does not fall under Zanzibar territorial waters is “astonishing”.
Lawmakers: Mr Mohammed Raza (CCM- Uzini), Mr Ismail Jussa (CUF-Mjimkongwe), and Mr Assa Othman Hamad (CUF- Wete) linedup to demand answer from the Zanzibar government on “who owns the Islands?”
“Let the Zanzibar government stand firm to defend Fungu Mbarak also known as ‘Fungu Kizimkazi’. It is part of our territory,” Raza said as Jussa advised the government to seek for a clear territory of Zanzibar.
It is said that Latham Islands was governed fully by Zanzibar before independence, and that any new claims over the island should be rejected. Jussa also said that that the current land policy which permits lease of land up to 99 years, needs review because it does not benefit Zanzibaris.
By ISSA YUSSUF, Tanzania Daily News

No comments :

Post a Comment