Msimu wa Karafuu…

Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein akiangalia mizani za kisasa za kupima karafuu kutoka kwa wakulima huko Pemba

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikagua karafuu za wakulima zilizoshindiliwa katika magunia zikisubiri kusafirishwa nje ya nchi huko katika bandari ya Mkoani Pemba

- Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Ahmed Nassor Mazrui akisalimiana na mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kulinda Haki za Ubunifu (WIPO) Neema Nyerere, mara baada ya kutia sahihi makubaliano ya kuipatia nembo yake karafuu ya Zanzibar
No comments :
Post a Comment