
President Jakaya Kikwete is now Chief Ng’humbu Banhu. He is sitting on the traditional three-legged chair commonly known as Kigoda after being crowned Chief of Bariadi in Simiyu region yesterday. (PHOTO:STATE HOUSE)

Mmoja wa machifu wa Kisukuma eneo la Bariadi ambaye pia ni Mbunge wa Bariadi Mashariki Andrew Chenge, akimvika vazi la kijadi Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kumpa uchifu iliyofanyika mjini Bariadi, Mkoa mpya wa Simiyu jana. Rais Kikwete alipewa jina la kisukuma la Chifu Ng’humbu Banhu lenye maana ya Anayekumbuka na kuthamini Watu.
No comments :
Post a Comment