
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohammed Dahoma
akiukaribisha ujumbe wa Madktari kutoka Jimbo la
Changzhou katika sherehe za utiaji saini makubaliano
ya ujenzi wa kituo cha maradhi ya mifupa na magonjwa
ya tumbo katika Hospitali ya Abdalla Mzee, Mkoani Pemba
na Hospitali Kuu ya Mnazimmoja katika sherehe
zilizofanyika leo Wizara ya Afya Mjini Zanzibar. 

Waziri wa Afya wa Zanzibar Juma Duni Haji na
Naibu Mkurugenzi Mambo ya Afya kutoka jimbo
la Changzhou Dk. Chen Jiangua wakitia saini
makubaliano ya ujenzi wa kituo cha maradhi ya
Mifupa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani na
magonjwa ya tumbo Hospitali Kuu ya
Mnazimmoja katika sherehe zilizofanyika

Waziri wa Afya wa Zanzibar Juma Duni Haji
akibadilishana hati ya makubaliano na Naibu
Mkurugenzi wa Mambo ya Afya wa Jimbo la
Changzhou baada ya kutiliana saini makubaliano
ya ujenzi wa kituo cha maradhi ya mifupa Hospitali
ya Abdalla Mzee na Kituo cha magonjwa ya tumbo
Hospitali kuu ya Mnazimmoja katika sherehe
zilizofanyika Wizara ya Afya Mjini Zanzibar.
Picha ya pamoja ya viongozi wa Wizara ya
Afya ya Zanzibar wakiongozwa na Waziri wa
Afya Juma Duni Haji na Ujumbe wa madaktari
kutoka Jimbo la Changzhou ulioongozwa na Naibu
Mkurugenzi wa Mambo ya Afya wa Jimbo hilo
baada ya kutiliana saina makubaliano ya ujenzi
wa kituo cha maradhi ya mifupa Hospitali ya
Abdalla Mzee na kituo cha maradhi ya matumbo
Hospitali ya Mnazimmoja. Sherehe hiyo
ilifanyika Wizara ya Afya Mjini Zanzibar
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Chanzo: ZanziNews

No comments :
Post a Comment