Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na baadhi ya wageni waalikwa katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, jana usiku wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru, alipomwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika kuhitimisha sherehe hizo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na baadhi ya wageni waalikwa katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, jana usiku wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru, alipomwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika kuhitimisha sherehe hizo. Kushoto kwake ni Rais wa Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein na mkewe Bi Mwanamwema Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wageni mbali mbali walioalikwa katika burudani za ngoma za asili zilizoendelea jana katika kusherehekea miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wageni mbali mbali walioalikwa katika burudani za ngoma za asili zilizoendelea jana katika kusherehekea miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisisitiza jambo akiwa na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib ilali,walipokuwa wakiangalia burudani maalum za ngoma za asili zilizotolewa jana na vikundi mbali mbali katika kusherehekea miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam,(kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,na Mke wa Makamo wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Asha Bilali,
Wasanii wa ngoma ya asili ya Kabila la Wahaya 'Kakau Band', wakitoa burudani jukwaani wakati wa sherehe hizo zilizohitimishwa kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam
Kikundi cha ngoma za asili kutoka mkoa wa Katavi, kikitoa burudani jukwaani wakati wa sherehe hizo zilizohitimishwa kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Chanzo: ZanziNews
No comments :
Post a Comment