Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, December 23, 2013

KOMANDOO!!! KOMANDOO!!! KOMANDOO!!!

Viongozi wa Wazazi Wamtembelea Komandoo Dkt Salmin.


 Rais Mstaaf wa Awamu ya Tano wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Salmin Amour Juma (Komandoo) akizungumza na Viongozi wa Jumiya ya Wazazi Tanzania walipofika nyumbani kwake kumtembelea na kujua hali yake.  

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Abdalla Bulembo, akizungumza katika ziara ya kumtembelea Rais Mstaaf wa Zanzibar Dkt. Salmin nyumbani kwake migombani Zanzibar. 

 Makamo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi  Dogo Mabrouk akizungumza katika mkutano huo na Dkt.Salmin nyumbani kwake migombani 

                      Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi  Najma Murtaza Giga 



Rais Mstaaf wa Awamu ya Tana Dk. Salmini Amour Juma, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, walipofika kumtembelea na kuzungumza nae nyumbani kweke Migombani Zanzibar.  

Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment