Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi akitoa hotuba katika maadhimisho
ya siku ya kuzuia Rushwa Duniani yaliofanyika katika Kiwanja cha Judo Amaan Mjini Zanzibar
kulia yake ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Ikulu na EUtawala Bora Salum Maulid na Kushoto
yake ni Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya kuzuia Rushwa Zanzibar Mussa Haji Ali.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya kuzuia rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar
Mussa Haji Ali akitoa hotuba ya makaribisho katika Maadhimisho ya siku ya Kuzuia
Rushwa Duniani yaliofanyika huko katika Uwanja wa Judo Amaan Mjini Zanzibar.
Waalikwa mbalimbali waliohudhuria katika Maadhimisho ya siku ya kuzuia Rushwa
Duniani yaliofanyika huko katika Uwanja wa Judo Amaan Mjini Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi katikati akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Mamlaka ya kuzuia Rushwa Zanzibar,katika Maadhimisho ya siku ya kuzuia Rushwa Duniani yaliofanyika katika uwanja wa Judo Amaan Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Chanzo: ZanziNews




No comments :
Post a Comment