
Mhariri Msanifu Mkuu wa gazeti hii, Boniface Luhanga (kulia), akiwaeleza wanafunzi wa Shule ya Wasichana Marian iliyoko Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, jinsi gazeti la NIPASHE linavyoandaliwa, baada ya kutembelea chumba cha habari cha gazeti la NIPASHE Mikocheni jijini Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Meneja Utawala wa The Guardian Limited, Michael Yohana.
No comments :
Post a Comment