Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, December 22, 2013

Ufunguzi wa matembezi ya UVCCM leo

A4085Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis,alipowasili katika  uwanja wa  Mpira Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika ufunguzi wa matembezi Umoja  wa  Vijana wa CCM Zanzibar katika kuadhimisha miaka 5o ya Mapinduzi.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
A4087Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu  wa UVCCM Zanzibar  Shaka Hamdu Shaka,alipowasili katika  uwanja wa  Mpira Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika ufunguzi wa matembezi Umoja  wa  Vijana wa CCM Zanzibar katika kuadhimisha miaka 5o ya Mapinduzi.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] 
A4374Vijana wa UVCCM wakiwa wamebeba Pich za Viongozi wa Chama katika Matembezi ya Madhimisho ya miaka 5o ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,(hayupo pichani)kuanzia  Micheweni kuelekea Wete Mkoa wa Kasakazini Pemba. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] 
A4134Vijana wasoma Utenzi Saumu Mohammed,na Rehema Juma,wakiwaburudisha wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliohudhuria katika ufunguzi wa Matembezi ya Umoja wa Vijana UVCCM Zanzibar ya kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi,ambapo  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,atafungua matembezi hayo yatakayoanza   Micheweni ,Mkoa wa Kaskazini Pemba, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] 

A4253Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,alipokuwa akizungumza na Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar na Wanachama wa CCM Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,pamoja na kuyafungua Matembezi ya Umoja huo ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, katika uwanja wa Mpira Micheweni kwa Shaamemata, (kushoto) Naibu Katibu Mkuu  wa CCM Zanzibar  Vuai Ali Vuai, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
A4127 (1)Vijana wa Chama cha Mapinduzi,UVCCM wa Mikoa na Wilaya wakiwa katika uwanja wa Mpira wa Micheweni kwa Shaamemata,Mkoa wa Kaskazini Pemba,wakisubiri ufunguzi wa matembezi ya umoja huo ya kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi,na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment