Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, January 7, 2014

ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO MBEYA APOKEA MISAADA TOKA KWA WASAMARIA WEMA

Joseph Mwaisango wa Mbeya Yetu akiwasilisha msaada wa pesa na nguo toka kwa wasamaria wema akina Yassin Kapuya , Hassan Othman, Mwandishi mwenzetu Othman Michuzi , Pendo Fundisha 





Aida Nakawala 25 mkazi wa kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya, hivi karibuni alijifungua watoto wanne  mapacha kwa mpigo akiwashukuru wote waliomsaidia na wanaondelea kumsaidia kwa misaada mbalimbali kwa ajili ya watoto wake hao asema hana cha kuwalipa Mungu mwenyewe ndiyo atawalipa asanteni sana


Baadhi ya waandishi wa habari waliomtembelea mama huyo na kuwasilisha michango toka wa wadau mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja

Namba ya simu ya mama huyo tutaitoa kesho kwani sasa tunamshugulikia kupata namba yake ya simu maana hana kitambulisho chochote. Tunawasiliana na kijiji alikotoka watupatie barua ya kupeleka katika makampuni ya simu asajiriwe

Na Mbeya yetu

No comments :

Post a Comment