Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, January 8, 2014

Daraja Foundation yenye makaazi yake Canada yajitambulisha

01Mkurugenzi mtendaji wa Daraja Foundation Bi. Arsheen Dhalla yenye Makao Makuu yake Canada akiitambulisha Jumuiya yao inayojishuhulisha na sekta ya Afya, Elimu na Watoto mayatima katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Amore Mio Mjini Zanzibar. 02Mkurugenzi mtendaji wa Daraja Foundation Bi. Arsheen Dhalla yenye Makao Makuu yake Canada akiitambulisha Jumuiya yao inayojishuhulisha na sekta ya Afya, Elimu na Watoto mayatima katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Amore Mio Mjini Zanzibar. 03Baadhi ya watoto mayatima waliofika katika uzinduzi wa Jumuiya ya Daraja Foundation katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Amore Mio Mjini Zanzibar.

04
Afisa wa Afya wa Daraja Foundation Bwa. Ahmed Said Suleiman akielezea jinsi ya Jumuiya yao inavyofanya kazi zake hapa Zanzibar katika sherehe iliyofanyika Hoteli ya Amore Mio Mjini Zanzibar.(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment