Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, January 7, 2014

TORONTO, CANADA: MKUTANO WA DIASPORA (ZACADIA)

Zanzibar-Canadian Diaspora Association

Asalaama Alaikum Nyote...

Nachukuwa fursa hii kuwaarifu ya kuwa Zanzibar-Canadian Diaspora Association - ZACADIA, itakuwa na mkutano utakaowajumuisha wajumbe wa Bodi, wajumbe wa Kamati ya Uongozi na wanachama wake, ambao ni Wazanzibari, wote wanaojiona kuwa wao ni Wazanzibari asilia.
Mkutano huu utakuwa na ajenda zifuatazo za msingi na kufuatiwa na mengineyo yakitokea:
1. Kutathmini kazi zilizofanywa na ZACADIA tokea kuanzishwa                    structure mpya ya uongozi na Structure yenyewe - (CEO)
2. Misaada iliyokusanywa hadi sasa:
-   Vifaa 
     (Fatma Nawawi - Fundraising Manager)
-   Fedha zilizochangwa na matumizi   yake 
    (Sabrina - Treasurer)
-   Misaada ya awali iliyofanywa Zanzibar 
     (Shahida - Women & Seniors Manager)
3. Changamoto zilizopo
4. Kusikiliza maoni ya wana Diaspora kwa                        Muhtasari
5. Mengineyo yakitokea

MKUTANO:
  • Siku: Jumamosi Januaray 18, 2014
  • Wakati: Saa sita na Robo (12:15 pm-02:00 pm)
  • Pahala: Driftwood Community Centre Jane/Driftwood
  • 4401 Jane Street, Toronto.Room 1C.
Kila mmoja amuarifu nayemjua na tunaombwa kufika kwa wakati kwani saa nane lazima tuwe nje ya ukumbi kwani wengine watahitaji kutumia ukumbi huo. 
Utawala unatanguliza shukrani zake za dhati kwa kujitayarisha kwenu kuhudhuria mkutano huo muhimu kwa ajili ya kuwasaidia ndugu zetu Zanzibar.
Ahsanteni
Administration for CEO
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Mohammed al-Nabhany (Diploma: Business Administration)
Administrative Director
Zanzibar-Canadian Diaspora Association
ZACADIA
Canada
(+1-416)854-1386

email: admzacadia@gmail.com

No comments :

Post a Comment