dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, May 23, 2014

AJIFUNGUA WATOTO WANNE AOMBA MSAADA



RIZIKI DAUD AKIWA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI WADI YA WAZAZI

Mkaazi wa kunduchi Beach katika manispaa ya kinondoni jijini Dar es salaa Riziki Daudi amejifungua watoto alipojifungua kwa njia ya upasuaji wiki iliyopita katika hospitali ya Taifa muhimbili kutopkana kuwa maisha magumu anaomba wasamaria wema kumsaidia kwa hali na mali kutoka hali yake hususani nguo za watoto apamoja na misaada mingine watoto hao wanatunzwa katika chumba maalum katika jengo la wazazi alikuwa anaomba kwa wale watakao gusa na tatizo hilo kuwasiliana na namba za simu 0783717648 ya Hadija Abeid na 0717 365040 ya Thuwaiba mohamed au 088711458 Daudi Haji.

No comments :

Post a Comment