Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, August 4, 2014

Rais Kikwete alipokutana na wanajumuiya DMV katika mkutano wa Diaspora , Washington, Marekani



Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC.

Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC.

Viongozi na wanachama wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC.

Wajumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Watanzania DMV.

Rais Kikwete akimsalimia mmoja wa watoto waliokuwepo kumlaki.

Rais Kikwete akilakiwa na wanajumuiya.

Rais Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe, Balozi wa Tanzania Marekani Mhe Liberata Mulamula na Bi Rose Jairo, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora wakijadiliana jambo meza kuu.

Sehemu ya wanajumuiya na wageni toka sehemu mbalimbali wakiwa katika mkutano huo.
Washiriki wa mkutano huo.

Wanajumuiya wakiwa wametulia mkutanoni.

Wanajumuiya.

Wanajumuiya toka kila kona ya DMV na sehemu mbalimbali za Marekani.

Sehemu ya viongozi wa Jumuiya na wanajumuiya.

Wote wametulia wakifuatilia kinachoendelea.

Wanajumuiya.

Wanajumuiya.

Wanajumuiya.

Sehemu ya nyomi ya wanajumuiya.

Wanajumuiya pamoja na baadhi ya viongozi.
























Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Limited,Bw Charles Singili akiongea na kunadi bidhaa mpya ya Diaspora Banking ambayo benki hiyo imeanzisha.




Mwanajumuiya akiomba ufafanuzi wa maswala kadhaa yanayowasibu.

Wanajumuiya wakifurahia jambo.

Swali toka kwa mwanajumuiya.

Wanajumuiya wakisikilia kwa makini kinachoendelea.

Mwanajumuiya akiuliza swali.

Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Limited,Bwa.Charles Singili akifafanua mambo kadhaa kuhusu Diaspora Banking.

Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Limited,Bwa.Charles Singili akiendelea kutoa ufafanuzi.

Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Limited,Bwa.Charles Singili akieleza faida za Diaspora Banking.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Julieth Kairuki akiongea.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Julieth Kairuki akifafanua jambo.

Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV BW Iddi Sandaly akiongea.

Rais Kikwete akifafanua jambo. Kushoto ni Mama Salma Kikwete na kulia ni Balozi Mulamula.

Mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha Power Breakfast Gerald Hand akirekebisha mitambo.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe akifafanua jambo.

Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV BW Iddi Sandaly akimtambulisha Bi Rose Jairo, Kaimu Mkurugenzi wa Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

Nyomi.

Mawziri na wabunge waliohudhuria.

Sehemu ya waliohudhuria.





Rais Kikwete akihuytubia wanajumuiya wa DMV.

Hotuba ikiendelea.






Chanzo: ZanzNews


No comments :

Post a Comment