Nderemo, vigelegele, chereko na makofi vilinguruma baada kuwahakikishia wana DMV ambacho anatarajia kukifanya na yeye ndiye rais kwa kipindi chengine kijacho.
Muheshimiwa Idd Sandali akiwa na kampeni meneja wake bwana Ali RAmashani aka tumbo au bambino katika nyama choma iliyofanyika meadbrook, Maryland.
Mheshimiwa Idd Sandali aliwa na bwana Kenyata Mayanga viwanjani hapo nyama choma ilipolika.
Baadhi ya wagombea uongozi wa jumuiya ya DMV, waliobahatika kufika kuomba kura, wakiwa mbele ya wana DMV kueleza kile watakacho watendea watanzania hao.
Chini na juu ni dada yetu dada Salma Manyoka na pia mgombea umakamo wa rais akitoa sera kwa wpoiga kura, kama kawaida yake hachelewi kuwavunja mbavu watu kwa kicheko.
Mgombea makamo urais dada Hariett Shangerai akimwa sera zake kwa wapiga kura hapo kwenye nyama choma iliyotayarishwa na Mh. Idd Sandali hapo meadbrook MD.
Dada Benadeta Kaiza mgombea ukatibu wa jumuiya ya DMV moja katika sera zake kwamba darasa la Kiswahili kwa watoto wa watanzania itaendelea kuwepo chini ya walimu waliopewa taaluma maalum ya Kiswahili.
Said Mwamende hakuwa nyuma kutumia fursa hii kumwaga sera zake na kuwahakikishia wana DMV kile kinachohitajika katika jumuiya. Kwa pichaa zaidi nenda soma zaidi.
No comments :
Post a Comment