AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, September 3, 2014

KIJIJI CHA NOUSHAD BAITRAIS CHA TEKETEA KWA MOTO HUKO ZANZIBAR.


Hali ndiyo hilikuwa hivi huko Zanzibar katika kijiji cha Baitrais kinachomilikiwa na Noushad aliekuwa mfadhili wa timu ya Malindi ya Unguja. Kwa wale wakazi wa Bububu wanaweza kupata taswira ya kijiji hicho cha Baitrais kwani kilikuwa barabarani ukielekea Bububu.

Chanzo cha moto huo kinasemekana kuwa ni shoti ya umeme.

Chanzo: Vijimambo

No comments :

Post a Comment