AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, September 3, 2014

'LAHE' KUMBE NAO HAWAKO NYUMA!!!

Kongamano la Kupinga Ukatili na Unyanyasaji Kijinsia Watoto na Wanawake Makunduchi.

Wanawake wakiwa katika maandamano wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kupinga Vitendo vya Unyanyasaji wa kijinsia  kwa Wanawake na Watoto Zanzibar wakipita mbele ya mgeni rasmin lililofanyika Wilaya ya Kusini Unguja katika viwanja vya Makunduchi.






Vikundi vya Wanawake wakihamasisha wakati wa kongamano la kupiga vita vitendo vya udhalilishaji kwa Wanawake kijinsia Zanzibar wakiwa na bango lao lenye ujumbe wa kupiga vita vitendo hivyo vinavyofanywa na baadhi ya Watu Zanzibar.










Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment