dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, September 19, 2014

Rambirambi kutoka kwa wana Diaspora Zacadia Canada

Zanzibar-Canadian Diaspora Association

                  Salam za rambi rambi                                 

Jumuia ya wazanzibari wanaoishi Nchi CANADA na waliowahishi katika nchi hiyo (ZACADIA wa Canada na Zanzibar) wanatoa mkono wa rambirambi kwa Rais wa serikali ya mapinduzi zanzibar, wafanyakazi wote wa ikulu,zanzibar  kwa kifo cha mkurugenzi wa Diaspora khamis ali.
Kamati ya ZACADIA (Canada na Zanzibar) wanatoa mkono wa pole kwa Mheshimiwa rais wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar pamoja na wafanyakazi wote wa Ikulu Zanzibar kwa kifo cha Mkurugenzi wao Khamis Ali. Mwenyezi mungu ailaze roho ya Marehemu peponi..Amin
Na kuwapa pole Familia ya ndugu Khamis ali na kwa Diaspora wote walioko nje na ndani ya Zanzibar

Bi Firdaus Rabia

Mwenyekiti, ZACADIA.

(Chanzo: ZanziNews)

No comments :

Post a Comment