SISI TUNAOTOKA PEMBA TUKAWEKEZE NA KWETU PEMBA PIA!!!
HALI HII YA WATU KUISHI KWENYE MATOPE NA VIBANDA VYA MAKUTI INASIKITISHA!!!
TUACHE KUWEKEZA BARA NA UNGUJA TU KWA FAIDA YA HARAKA HARAKA NA TUKAKUSAHAU KWETU TULIKOZALIWA.
KAMA SIO SISI TUNAOTOKA PEMBA TUKAWEKA MIFANO MIZURI NANI ATAKUENDA KUWEKEZA PEMBA???
WEWE WEKEZA TU NA BUSINESS ITAKUJA WENYEWE.
WAPEMBA TUMEKUSAHAU KWETU PEMBA!!!
WE ARE TO BE BLAMED!!!
Maji yaanza kupatikana Chakechake baada ya Mashine kutengenezwa.
Wananchi katika maeneo ya Wawi Pemba, wakianza kupata huduma ya Maji safi na salama baada ya kuikosa kwa muda wa wiki moja, baada ya kuunguwa mashine ya kusukumia Maji (MOTA).
Zanzibar Ni Kwetu ni blog au chama cha siasa? Mbona mmezidi hivi? Kuona picha moja tu ndio mnaamua kuwa Pemba kunashida? Mmekuwa kama chile cha upinzani kule India ambacho bungeni hata serikali ikitaka kujenga shule wanapinga, eti kwasababu wao wapo kwenye opposition. Hamjaona mikutano ya Gombani juzi ya vyma vyote viwili, wananchi walivyokuwa wakifurahika? Hio shida ipo wapi? Labda nyie ndio wenyeshida. Pemba watu wanamaisha yao ya raha. Hicho kifaa cha mashine ya maji kilipelekwa Pemba kwa nduge, sas vipi Pemba mnasema imesahauliwa? Acheni fitna na chuki hizo. Fitna na chuki hazijengi bali hubomoa tu. Inshaallah mtabomoka wenyewe.
ReplyDeleteMuandishi naona haijui Pemba wala Zanzibar. Kwani huko Zanzibar maisha yapo vipi? Unavyoandika kamavile maisha ya Zanzibar ni poa kabisa. Muandishi ulifika Kwamtipura kutembea? Kama hujafika, basi fika kwanza na baadae sema maisha ya Pemba ni magumu. Kama umeona watu wanafua kwenye tope Pemba, basi Kwamtipura watu wanalala kwenye gutters zinazopita tope!
Delete