dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, November 24, 2014

Miche ya Karafuu yakosa soko

  BAADHI ya wanavikundi kisiwani Pemba, kuhamasika kuatika miche ya mikarafuu kwa wingi, miche hiyo imekuwa ikikosa  soko kama ilivyo kwa kikundi cha Bobo sio dili cha Bogoa  Mkanyageni Wilaya ya Mkoanikisiwani Pemba, (picha na Abdi Suleiman, PEMBA)

 KATIBU wa kikundi cha Bobo sio dili cha Bogoa MkanyageniWilaya ya Mkoani, Adam Kombo Khatib akimwangilia maji miche yake ya Mikarafuu iliyopo katika kikundi chao,ikiwa ni mchanganyiko wa miche 5000 iliyobakia msimu uliopita na miche ya sasa 10000 walioatika katika kipindi hichi wakisubiri kuitia sokoni (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment