Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, December 27, 2014

Lowassa amtembelea Mzee Ali Ameir Mohammed nyumbani kwake Donge

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa (kushoto) akimsikiliza aliyewahi kuwa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ali Ameir Mohammed, alipomtembelea nyumbani kwake, Kichaviani, jimbo la Donge, visiwani Zanzibar leo Jumamosi Desemba 27, 2014. Lowasa yuko Zanzibar kwa mapumziko ya Krismas na Mwaka mpya.

Lowasa, akikaribishwa na Ali Ameir

Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment