Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, December 13, 2014

MAMA SALMA SAIDIA WEZI WA ESCROW WAADHIBIWE!

MAMA SALMA AFUNGA KAMPENI KWA KISHINDO LINDI

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, anayewakilisha Lindfi mjini, mke wa rais Mama Salma Kikwete, akipungia wafuasi wa chama, hicho wakati akiwasili kwenye mkutano wa kampeni huko Mingoyo mkoani Lindi. Maelfu ya wanachama wa CCM, na wananchi walifutika kwenye mkutano huo wa kuwanadi wagombea wa nafasi mbalimbali za serikali za mitaa kwenye uchaguzi utakaofanyika Jumapili Desemba 14, 2014 kote nchini.

Mama Salma akiwa kwenye kikao cha ndani cha kimkakati nawajumbe wa Tawi la Nanyanje lililopo katika Kata ya Chikonji katika wilaya ya Lindi Mjini. Uchagzui wa serikali za mitaa utafanyika kote nchini, leo Jumapili.

Maelfu ya wananchi wakimsikiliza mama Salma.
CCM Oyeeeeee.

Mama Salma akihutubia katikati ya wananchi.

Hotuba inaendelea.

Mke wa rais, Mama Salma Kikwete, ambaye pia ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM akiwakilisha Lindi mjiniu, akiwapigia debe wagombea wa chama hicho, kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini kote Jumapili Desemba 14, 2014.

No comments :

Post a Comment