Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitam,bulisho vya Taifa Zanzibar Ndg. Vuai Mussa, akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kilimani Zanzibar kuhusiana na zoezi hilo la utoaji wa Vitambulisho kwa Wananchi wa Zoni C Wilaya ya Mjini Unguja ambalo limemalizika jana kwa mafanikio makubwa kwa Wananchi kujitokeza kuchukua vitambulisho vyao na waliokuwa hawakufika katika vituo Wanaweza kufika Ofisi za Wilaya kupata huduma hiyo.
Wananchi wa Kituo cha Skuli ya Muembemakumbe wakiwa katika mistari wakisubiri kukabidhiwa Vitambulisho vyao baada ya kukamilika kwa taratibu za uzalishaji. Zoezi hilo likiendelea katika Zoni C Wilaya ya mjini kutowa vitambulisho hivyo. Wilaya ya Mjini ina Shehia 22.
Chanzo: ZanziNews
No comments :
Post a Comment