airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, December 4, 2014

MKUTANO WA VIONGOZI WA MASHINA NA MASKANI ZA CCM CHAKECHAKE.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Fidel Castro  kuzungumza na Viongozi wa Mashina na Maskani za CCM akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake chake Pemba.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi alipofika katika Viwanja vya  Chuo cha Fidel Castro kuzungumza na Viongozi wa Mashina na Maskani za CCM akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake chake Pemba leo.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa  Kusini Pemba Mshindo Hamad Mshindo (kushoto) akifuatana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein  mara alipowasili katika Viwanja vya  Chuo cha Fidel Castro  kuzungumza na Viongozi wa Mashina na Maskani za CCM akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake chake Pemba.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwapungia mkono Vikundi vya sanaa wakati  alipofika katika Viwanja vya  Chuo cha Fidel Castro  kuzungumza na Viongozi wa Mashina na Maskani za CCM akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake chake Pemba.
 
Rais wa Zanzibar na   Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar (wa pili kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Chakechake wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo cha  Fidel Castro Mkutano wa  Viongozi wa Mashina na Maskani za CCM akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Wilaya ya Chake chake Pemba. 
Wajumbe wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani wakinyanyua mikono juuu kuunga mkono katiba iliyopendekewa mbele ya Rais wa Zanzibar na   Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  alipofanya mazungumzo na Viongozi hao katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara za kuimarisha Chama.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipomkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ili azungumze na  wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro Mkoa nwa Kusini Pemba akiwa katika ziara za Kuimarisha Chama cha Mapinduzi (CCM).

Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi ya Taifa wakiwa katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Chake chake Uliohutubiwa  na Rais wa Zanzibar na   Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  leo katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara za kuimarisha Chama Mkoani humo.

Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM Wilaya ya Chake chake  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza nao leo katika ukumbi wa Cho cha Fidel Castro akiwa katika ziara za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba.

Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi ya Taifa wakiwa katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Chake chake Uliohutubiwa  na Rais wa Zanzibar na   Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  leo katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara za kuimarisha Chama Mkoani humo.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea  utenzi uliosomwa leo  na  Fatma Juma Ramadhan  wakati Mkutano wa kuimarisha Chama uliowashirikisha Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani  wa Wilaya ya Chake chake katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi.

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Wete akizungumza katika Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani wa Wilaya hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa Jamhuri Wete Pemba na kuhutubiwa na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Map[induzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama Mkoa wa Kaskazini Pemba.

Kaimu Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Chake chake Mafunda Khamis ambae ni Katibu wa CCM Wilaya ya Chake chake alipokuwa akifungua Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani za CCM katika ukumbi wa Chuo cha Fidel Castro leo mkutano uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwa katika ziara za Kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini  Pemba.
[Picha na Ikulu.]  
Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment