Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, December 3, 2014

Rais Kikwete amuapisha Mdhibiti Mkuu wa Serikali leo Ikulu

Rais Jakaya Mrisho kikwete akimuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 2, 2014.

Rais Jakaya Mrisho kikwete akitia sahihi yake kwenye nyaraka baada ya kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akimkabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba.

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad baada ya kumuapisha  Ikulu jijini Dar es salaam leo.


Rais Jakaya Mrisho kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Spika Anne makinda na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya na 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo.

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na familia ya  Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo.

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na CAG Mstaafu Bw. Ludovick Utouh Ikulu jijini Dar es salaam leo.

Rais Jakaya Mrisho kikwete katika picha ya pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na wafanyakazi wa ofisi ya CAG  Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 2, 2014.
         (PICHA NA IKULU)
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu mpya wa Hesabu za Serikali Prof. Musa Juma Assad akiongea na waandishi wa habari kuhusu  namna atakavyotekeleza majukumu yote yaliyoainishwa katika ofisi yake kwa mujibu wa sheria.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anne Makinda akizungumza na waandishi wa habari kuhusu  ushirikiano uliopo kati ya Ofisi yake kupitia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali katika kujenga Mfumo wa kisasa wa ukaguzi wenye uwajibikaji unaojenga nidhamu katika mapato na matumizi ya Serikali.

Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilila akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman wakati wa hafla fupi ya kuapishwa kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu mpya wa Hesabu za Serikali iliyofanyika leo Ikulu jijini Dar es salaam, Kulia ni Spika wa Bunge Mh. Anne Makinda.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mh. Zitto Kabwe akisalimiana na Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya wakati wa hafla fupi ya kuapishwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu mpya wa Hesabu za Serikali Ikulu jijini     Dar es salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu mpya wa Hesabu za Serikali Prof. Musa Juma Assad(wa pili kutoka kushoto) na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali leo Ikulu jijini Dar es salaam.
(Picha na Aron Msigwa)
Chanzo: ZanziNews
                                                                         

No comments :

Post a Comment